Shuguli za kiuchumi katika Halmashauri ya wilaya ya Babati ni Kilimo, ufugaji, pamoja na biashara,Mazao yanayolimwa ni pamoja na mahindi,mbaazi,mtama, maharagwe, choroko,ufuta pamoja na alizeti.
Mifugo inayofugwa ni ng'ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe pamoja na kuku wa nyama na mayai.Kilimo na Ufugaji kimekua uti wa mgongo katika Halmashauri ya Wilaya ya babati na kuwafanya wakulima kupata chakula, kuweka ziada ya mazao na mifugo na asilimia nyingine kusafirisha katika wilaya na mikoa mingine kama shughuli za kibiashara.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.