Wananchi katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati hufuga mifugo kama Ngombe,Mbuzi, Nguruwe,Kondoo, Kuku pamoja na Bata, mifugo hii husaidia kujipatia kipato na kuongeza uchumi, ziada nyingine hutunzwa kwa ajili ya chakula.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.