Halmashauri ya wilaya ya Babati imeunga mkono sera ya uchumi viwanda kwa kufufua viwanda ambavyo utendaji wake ulikuwa mdogo na kuanzisha viwanda vipya takribani kumi na nne ambavyo tayari vimeanza utekelezaaji, Halmashauri ya wilaya ya Babati inawakaribisha wawekezaji wote kufanya tafiti na kuanzisha viwanda katika Halmashauri ya wilaya ya Babati.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.