Mtumishi wa Umma anaweze kupata salary slip zake kwa kila mwezi au mwaka anahoitaji kwa kupitia mfumo mpya wa kutolea salalry slip kwa kufuata hatua zifuatazo:
Fungua browser yoyote ile mfano:- Mozilafirefox, google chrome, internet explorer….etc
Kisha andika link hii:- https://salaryslip.mof.go.tz mfumo utafunguka kama picha inavyoonesha hapa
Jaza taarifa zako binafsi katika kila chumba kwa kufuata maelekezo yafuatayo kisha bonyeza “register” kuendelea na hatua nyingine.
Taarifa zinazohitajika katika kujiunga na mfumo wa salary slip
**ANGALIZO**Taarifazakozotezifananenazilizopokatikamfumowa LAWSON.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.