Halmashauri ya Wilaya ya Babati kwa kuhakikisha inatoa huduma bora kwa watumishi imeanzisha mkataba wa huduma kwa mteja, Mtumishi yeyote anayehitaji huduma husikilizwa na kuhudumiwa kwa wakati. Idara ya Utumishi inajali maslahi ya watumishi kwa kutatua changamoto za watumishi kupitia sanduku la maoni na hoja mbalimbali zinazotolewa na watumishi wakati wa vikao vya kila idara.Aidha Halmashauriya Wilaya ya Babati imeanzisha chumba cha kusikiliza malalamiko ya wananchi kutoka sehemu mbalimbali na kuyatolea maamuzi.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.