Kamati ya Elimu,Afya na Maji huhakikisha kiwango cha ufaulu kinaongezeka kila mwaka na elimu bora inatolewa, vifaa vya ufundishaji vinafika mashuleni kwa wakati, katika sekta ya afya kamati hii huhakikisha huduma za afya zinatolewa kwa ubora,katika sekta ya maji kamati hii huhakikisha vyanzo vya maji vinalindwa na uboreshaji wa miundombinu ya vyanzo vya maji inaboreshwa
ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WANAOUNDA KAMATI YA ELIMU, AFYA NA MAZINGIRA
NA
|
JINA
|
CHEO
|
KATA
|
|
|
1 |
MHE. SELINA AMMI
|
MWENYEKITI WA KAMATI
|
DAREDA
|
|
2 |
MHE. NICODEMUS K. TARMO -
|
M/KITI H/W YA BABATI
|
MAMIRE
|
|
3 |
MHE. ANNA GIDARY (MB)
|
MJUMBE
|
MANYARA(M)
|
|
4 |
MHE. ELLUTHERY BURA
|
MJUMBE
|
DAREDA
|
|
5 |
MHE. ADAM H. IPINGIKA
|
MJUMBE
|
KISANGAJI
|
|
6 |
MHE. GERALD CHEMBE
|
MJUMBE
|
MWADA
|
|
7 |
MHE. LUCAS W.MAKORI
|
MJUMBE
|
MAGUGU
|
|
8 |
MHE. YAHAYA H. LOYA
|
MJUMBE
|
AYASANDA
|
|
9 |
MHE. LUCIAN AMMI
|
MJUMBE
|
NAR
|
|
10 |
MHE. MATHAYO P. GEKUL
|
MJUMBE
|
ARRI
|
|
11 |
MHE. ELIZABETH SANKA
|
MJUMBE
|
ARRI
|
|
12 |
MHE. MICHAEL BASSO GINYAMAT
|
MJUMBE
|
SECHED
|
|
13 |
MHE. MAGRETH KODI
|
MJUMBE
|
BOAY
|
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.