Halmashauri ya Wilaya ya Babati huongozwa na Mwenyekiti ambaye huteuliwa na baraza la Madiwani, Mkurugenzi Mtendaji huyu huteuliwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Madiwani wa kila kata ambao hupigiwa kura na wananchi
wakuu wa idara na Vitengo ambao ni wataalamu katika Baraza la madiwani, wataalamu hawa humsaidia mkurugenzi katika utekelezezaji wa shughuli mbalimbali katika kila idara na vitengo.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.