Halmashauri ya wilaya ya Babati ina mifugo kama vile ng'ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe,kuku pamoja na punda, mifugo hii hutumiwa na wanachi wa Halmashauri ya wilaya ya Babati katika shughuli za kiuchumi pamoja na chakula.Halmashauri ya wilaya ya Babati imeboresha sekta ya mifugo kwa kutoa elimu kwa wafugaji juu ya ufugaji bora na kutoa chanjo kwa wakati.Maafisa mifugo wa kata hutembelea wafugaji na kuwapa elimu juu ya ufugaji bora na kutoa chanjo dhidi ya magonjwa ya milipuko.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.