Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Emmanuela Kaganda na Mkurugenzi Mtendaji wa H/ Wilaya ya Babati Anna Mbogo leo wakiwa Kijiji cha Dareda Kati kata ya Ayalagaya wakihamasisha wananchi kwenda kujiandikisha kwenye Orodha ya wapiga kura. Mhe. Kaganda pamoja na kuhamasisha wananchi kwenda kujiandikisha amewasilisha salaam za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan na kusisitiza wananchi kuishi kwa amani kufanya kazi kwa bidii ili kujiletea maendeleo na Taifa kwa ujumla.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.