Wananchi Mkoani Manyara wametakiwa kuulinda na kuudumisha Muungano kwa maendeleo endelevu . Hayo yamesemwa na Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Bi Mariam Muhaji leo kwenye Dua maalumu ya kuliombea Taifa kwa kufikisha miaka 60 ya Muungano iliyofanyika katika Viwanja vya Tanzanite Kwaraa Mjini Babati." Tunashukuru Mungu Muungano wetu umefikisha miaka 60 tukiwa hai , tukiwa na maendeleo makubwa chini ya Kiongozi wetu Rais Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassani" amesisitiza kiongozi huyo. Katika dua hiyo Viongozi wa Dini vyama na serikali wamehudhuria na wamepata wasaa wa kutoa neno ambapo wengi wameshukuru serikali kwa kulinda amani na kuleta maendeleo nchi.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.