Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Maryam Muhaji ametoa pongezi kwa ujenzi wa Nyumba ya Mkurugenzi Mtendaji wa H/ Wilaya ya Babati na kusisitiza kazi zilizobaki zikamilishwe kabla ya mwezi Desemba Mwaka huu. Bi Muhaji ameyasema hayo leo kwenye muendelezo wa ziara yake ya ufuatiliaji na ukaguzi wa miradi ya Maendeleo katika H/ Wilaya ya Babati
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.