• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Babati District Council
Babati District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango Ufuatiliaji na Takwimu
      • Ardhi mali Asili na Wanyamapori
      • Maendeleo ya jamii na ustawi wa jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mazingira na Usafi wa Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ufugaji nyuki
      • Teknologia ya Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Uchaguzi
    • Link ya Machapisho ya Idara/Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Kiofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Madiwani Watakiwa Kuhimiza Wananchi Juu ya UkamilishajI Ujenzi wa Madarasa.

Posted on: October 30th, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Babati Mh Elizabeth Kitundu amewataka Wananchi wa Wilaya ya Babati kukamilisha miundombinu ya Ujenzi wa madarasa kabla ya Mwezi desemba 2018 ili watoto wote waliofahulu Mtihani wa darasa la saba Mwaka 2018 waweze  kuingia kidato cha kwanza Januari mwaka 2019. Mkuu wa Wilaya ameyasema hayo leo   kwenye Mkutano wa  Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Babati kujadili taarifa za kata uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati "Waheshimiwa Madiwani ni jukumu lenu lá kuhamasisha Jamii ili itoe  michango kukamilisha ujenzi wa madarasa ya kidato cha kwanza katika maeneo yenu" amesisitiza Mkuu wa Wilaya. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Mhe. Nicodemus Tarmo  naye amewaomba Wahe. Madiwani kwenda kuhamasisha jamii kukamilisha ujenzi wa madarasa hayo kwani jukumu la kujenga miundombinu ya Shule  ni lá Jamii yenyewe.  Aidha Mkuu wa Wilaya ya Babati amewaomba wahe. Madiwani kwenda kuwajulisha Wazazi wa watoto wote walifahulu kuhakikisha wanawasimamia ili waweze kwenda shule kidato cha kwanza mwaka 2019.    Matokeo ya Mtihani wa Darasa la saba mwaka 2018 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani, Halmashauri ya Wilaya ya Babati imefahulisha Kwa asilimia 78.37 na imekuwa  Halmashauri ya 2 Kimkoa kati ya Halmashauri 7 za Mkoa wa Manyara na imeshika nafasi ya 93 Kitaifa kati ya Halmashauri 186 zilizofanya Mtihani wa kumaliza Elimu ya Msingi mwaka 2018.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA September 25, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 03, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WASIMAMIZI VITUO VYA WAPIGA KURA June 30, 2025
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI 2020 June 17, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Mwenge Wa Uhuru Waweka Jiwe La Msingi Kituo Cha Afya Gallapo

    July 15, 2025
  • Shule ya Wavulana Manyara Boys Yatajwa Kuwa Bora Zaidi Manyara

    July 15, 2025
  • DC Kaganda Aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Boksi la Kalavati Mamire- Qashi

    July 09, 2025
  • Maofisa Ugani Waagizwa Kutoa Chanjo Kwa Weledi

    July 08, 2025
  • Angalia zote

Video

MAKALA YA ELIMU IKIANGAZIA SWALA LA TAALUMA NA HALI YA UFAULU KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI
video zaidi

Viunga vya haraka

  • Watumishi portal
  • Lgrcis dashborad
  • Salary silpportal
  • Ramani ya Halmashauri

Tovuti Mbalimbali

  • Tovuti ya Ofisi ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Ofisi ya Raisi,Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Wilaya Ya Kiteto
  • Secretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Ya Eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya wilaya ya Babati

    Anwani: P.O BOX 400, Babati.

    Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011

    Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577

    Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani Ya Tovuti

Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.