Posted on: January 6th, 2025
Wananchi wa Kijiji cha Endasago kata ya Arri Halmashauri ya Wilaya ya Babati wametakiwa kutunza miradi inayojengwa na serikali na wadau wa maendeleo. Hayo yamesemwa na Waziri Ofisi ya Rais...
Posted on: December 19th, 2024
Halmashauri ya wilaya ya Babati leo imehitimisha mafunzo ya viongozi wapya waliochaguliwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa tech 27/11/2024. Katika hotuba yake mara baada ya Mafunzo kwa niab...
Posted on: December 13th, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Babati imeendelea kutoa mafunzo kwa viongozi wapya waliochaguliwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa tarehe 27/11/2024. Kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri...