Posted on: January 25th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Babati Kwa kushirikiana na Wadau wa Maendeleo na Wananchi wa Kata za Madunga na Bashnet wamejenga ofisi za Kata kurahisisha upatikanaji wa huduma . Mkurugenzi Mten...
Posted on: January 20th, 2023
Baraza la Madiwani la H/ Wilaya ya Babati limejadili na kupitisha mapendekezo ya Makadirio ya Mpango na Bajeti ya Mapato na Matumizi ya kiasi Tsh 62,092,419,436 Kwa mwaka fedha 2023/2...
Posted on: January 20th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Babati Mkoani Manyara kwa mwaka 2023/2024 imepanga kukusanya kiasi Cha Tsh 3,445,000,000 kutoka mapato ya Vyanzo vya ndani. Wakijadili mapendekezo ya makadirio ya Mpango...