Posted on: June 5th, 2021
Jamii imeshauriwa kutunza mazingira kwa vitendo ikiwa ni pamoja na kupanda miti, kutumia vyoo safi,na kulinda vyanzo vya maji. Hayo ameyasema Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Babati Ndg Salumu Issa &n...
Posted on: June 4th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Makongoro Nyerere ameipongeza H/ Wilaya ya Babati kwa ununuzi wa gari Lori aina ya Damping truck,faw tani 22 , fedha za Mapato ya ndani,kwa ajili ya ujenzi wa...
Posted on: April 29th, 2021
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Babati limepongeza Serikali Kuu kwa kuipatia fedha kiasi cha bilioni mbili kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Utawala Makao Makuu na Ujenzi wa H...