Posted on: February 6th, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Elizabeth Kitundu amesitisha Michezo ya Kubahatisha kufanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati kutokana na Halmashauri hiyo kutokuwa na mahali panapokid...
Posted on: February 5th, 2020
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Babati limesisitiza Wananchi kuendelea kuchangia chakula ili watoto wao wa shule za Msingi na Sekondari wapate chakula cha mchana shuleni.Hayo amey...
Posted on: February 4th, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Elizabeth Kitundu amesisitiza Vikundi vya Wanawake ,Vijana na Watu wenye ulemavu kutumia fedha wanazokopeshwa na Halmashauri kwa shughuli zilizoku...