Posted on: December 1st, 2018
Wananchi wametakiwa kupima mara kwa mara afya zao ili kujikinga na magonjwa mbalimbali. Hayo ameyasema Mgeni Rasmi Mhe Mariam Kwimba Diwani wa Viti Maalum Kata ya Magugu kwenye Maadhimisho ya Siku ya ...
Posted on: November 13th, 2018
Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati umewataka Wawekezaji wenye Mashamba Makubwa kulima kilimo cha kisasa, chenye tija na kulipa kodi zote za serikali zinazostahi kwa wakati. Hayo ameyasem...
Posted on: November 7th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti amewataka wakazi wa Kijiji cha Vílima Vitatu Kata ya Nkait Halmashauri ya Wilaya ya Babati wanaoishi kwenye Hifadhi ya Wanyama kandokando ya ziwa Manyara kuond...