Wakazi wa Halmashauri ya wilaya ya Babati hudumisha maadili kwa kufuata mila na desturi za tamaduni husika. Wazee wa Kimila husimama kama wasuluhishi na washauri wa mambo yote ya kijamii, hukemea mila potofu zinazomkandamiza wanamke na watoto mfano wa mila hizo ni ukeketaji na kutomlikisha mwanamke ardhi,wazee wa kimila hutoa elimu husika na na kutoa taarifa pindi tatizo linapotokea. Viongozi hawa hudumisha Amani na kukemea vitendo viovu
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.