Halmashauri ya wilaya ya Babati ina maziwa makubwa mawili ikiwa ni pamoja na ziwa Burunge na ziwa Manyara, maziwa haya mawili hutoa samaki aina ya Perege,Kambale, pamoja na Tilapia.
Halmashauri ya wilaya ya Babati huwapa wavuvi elimu juu ya matumizi ya nyavu halalli na kuzingatia sheria za uvuvi
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.