Halmashauri ya wilaya ya Babati imeboresha sekta ya mifugo kwa kutoa elimu kwa wafugaji juu ya ufugaji bora na kutoa chanjo kwa wakati.Maafisa mifugo wa kata hutembelea wafugaji na kuwapa elimu juu ya ufugaji bora na kutoa chanjo dhidi ya magonjwa ya milipuko.Halmashauri ya wilaya ya Babati ina Maafisa Mifugo walio na ujuzi wa hali ya juu hushauri wafugaji juu ya upandikizwaji wa mbegu bora na kupata mifugo iliyo katika ubora
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.