Makala ya Elimu ikiangazia swala la taaluma na hali ya ufaulu katika halmashauri ya wilaya ya Babati
Wanakijiji wa Sangara pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Babati wakipokea wadhamini wa mradi wa maji kwa shangwe mradi utakaowawezesha kuepuka kutembea umbali mrefu kupata maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani hii ikiwa ni dhamira ya serikali ya awamu ya tano kumtua mama ndoo kichwani na kuwapatia wananchi maji safi na salama.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.