Halmashauri ya Wilaya ya Babati imefanikiwa kuanzisha viwanda kumi na saba.
Ambavyo vimeanza uzalishaji ni kama ifuatavyo:-
1. Kiwanda cha kuchakata mbegu za mazao (FARMICO) -Kata ya Magugu
2. Kiwanda cha kuchakata pamba (HANANG COTTON MILL)- Kata ya Magugu
3 .Kiwanda cha kuchakata mpunga - Kata ya Magugu
4. Kiwanda cha kuunganisha vifaa vya baiskeli- Kata ya Mamire
5. Kiwanda cha kukamua mafuta ya Alizeti- Kata ya Endanoga
6. Kiwanda cha Kumenya kahawa (DAREDA COFFEE FARM)- Kata ya Dareda
7. Kiwanda cha sukari (SUBA)- Kata ya Kiru
8. Kiwanda cha kutengeneza chakula cha kuku-Kata ya Gallapo
9. Kiwanda chakusindika Asali- Kata ya Dareda
10 Kiwanda cha kufyatua matofali (HOLE BLOCKS)- Kata ya Magugu
11. Kiwanda cha kuchakata mpunga (SAID KOJA)- Kata ya Magugu
12. Kiwanda cha kuchakata mpunga (MANYERESA)- Kata ya Magugu
13. Kiwanda cha kukamua mafuta ya alizeti (AMSI MUCDA)- Kata ya Galapo
14. Kiwanda cha kukamua mafuta ya alizeti (YAHYA MPARE)- Kata ya Galapo
Ambavyo vipo kwenye mkakati wa kuanza kazi ya uzalishaji ni kama ifuatavyo:-
15. Kiwanda cha Brickes (MANYARA SUGAR)-Kata ya Magugu
16. Kiwanda cha kutengeneza sabuni -Kata ya Kiru
17. Kiwanda cha kusindika karanga-Kata ya Magugu
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.